Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Seneta wa Marekani Christopher Coons, akiwa na Ujumbe
aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana, kuzungumza na Rais. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Seneta wa Marekani Christopher Coons,akiwa na Ujumbe
aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.

-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)