Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa
akizungumza na Kamati ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Mazingira kwenye
ukumbi wa Hazina kulia Mwenyekiti wa Kamati hiuo James Lembeli kushoto
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga,Naibu katibu Mkuu
Eng Ngosi Mwihava,Mh Zakhia Megji kikao hicho kimefanyika leo Mjini Dar
es Salaam.Picha na Ali Meja
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)