:
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe
akiwa kwenye mahojiano na Hadija Riyami wa idhaa ya Kiswahili ya Radio
Vocie of America kuhusu Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiwa
kwenye picha ya pamoja na mtangazaji wa Kipindi cha Televisheni cha
Voice of America cha Infocus Africa Bw. Vincent Makori mara baada ya
mahojiano ya dakika 45. Mahojiano hayo yatarushwa kwenye vipindi vya
Infocus ndani ya mwezi wa Juni na Julai.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akipiga
picha na Hadija Riyami wa idhaa ya Kiswahili ya Radio Vocie of America
kuhusu Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania, mkutano wa AGOA na masuala
mengine yahusuyo bara la Afrika.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akipiga
picha na Mwamoyo Hamza wa idhaa ya Kiswahili ya Radio Vocie of America
kuhusu Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania, mkutano wa AGOA.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe
kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa VOA na Afisa Mawasiliano wa
Ubalozi wa Tanzania Washington DC mara baada ya mahojiano kuhusu ziara
ya Marekani.
Afisa Habari wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani akiwa
kwenye picha ya pamoja na mtangazaji wa Kipindi cha Televisheni cha
Voice of America cha Infocus Africa Bw. Vincent Makori mara baada ya
mahojiano ya dakika 45. Mahojiano hayo yatarushwa kwenye vipindi vya
Infocus ndani ya mwezi wa Juni na Julai.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe
akiongea na Mkuu wa Programu na Utangazaji wa SHirika la Utangazaji la
VOA mara baada ya kufanya mahojiano na idhaa ya kiswahili radio na
televisheni kipindi cha InFocus Africa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)