Habari
za kusikitisha kutoka Mkoani Morogoro, Mhariri Mkuu wa gazeti la JAMBO
LEO, Bw. WILLIE EDWARD amefariki dunia mjini Morogoro alikokuwa
akihudhuria Warsha ya Wahariri. Amefariki usingizini. Chanzo cha kifo
kitatolewa na vyombo husika.
Blog
hii inaungana na familia ya Marehemu, Wanahabari, Ndugu jamaa na
Marafiki wote katika kuomboleza msiba huu wa mpiganaji WE.
Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kuhusiana na msiba huo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)