Basi aina ya Coaster lililo kuwa linatokea Mbeya kuelekea Kyela Muda mfupi baada ya Ajali kutokea
Gari la Mizigo ambalo limehusika na ajali hiyo likiwa pembeni muda mchache baada ya ajali hiyo kutokea
Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa katika eneo hilo la Hospitali ya Rufaa Jijini Mbeya muda mchache uliopita
Mmoja wa majeruhi ambae baada ya kupata matibabu
Mmoja ya mdada ambae ameumia Vibaya akipata matibabu katika hospitali ya Rufaa muda mchache uliopita
Baadhi
ya Ndugu jamaa na marafiki waliofika eneo nyumba ya Kuhifadhia maiti
katika Hospitali ya Rufaa kuwatambua ndugu zao muda mchache ulio pita
Polisi wa usalama wa Barabarani wakiwa katika hospitali ya Rufaa Mbeya .Picha Na Mbeya Yetu Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)