Meneja wa bia
ya Serengeti Bw. Allan Chonjo akitangaza majina ya washindi wa
promosheni ya Vumbua Dhahabu chini ya Kizibo inayoendeshwa na kampuni ya
bia ya Serengeti SBL katika makao makuu ya kampuni hiyo Oysterbay,
kulia ni Tumainieli Malisa kutoka PWC na kushoto ni Abukary kutoka bodi
ya michezo ya kubahatisha.
Meneja wa bia ya Serengeti Bw. Allan Chonjo akiongea na mshindi wa
pikipikiwakati alipompigia simu kumtaarifi juu ya ushindi wake, kulia ni
Joyce Mwijage kutoka kampuni ya bia ya Serengeti, kushoto ni Tumainieli
Malisa kutoka PWC na nyuma aliyesimama ni Abubakary kutoka Bodi ya
michezo ya kubahatisha
Washindi wa leo katika droo ya
saba ni Baltazar Protas kutoka Temeke Dar es Salaam ambaye amejishindia jenereta,
na Vicent Lymo kutoka Kibosho Kilimajaro ambaye amejinyakulia pikipiki mpya kwa mara ya pili
mfululizo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)