Wabunge
wa Bunge la Afrika Mashariki upande wa Tanzania jana usiku mara baada
ya sherehe za Kuapishwa na uzinduzi wa Bunge hilo jipya la tatu
walifanya sherehe ndogo ya kujipongeza iliyofanyika katika Hoteli ya
Kibo Palace ya mjini hapa na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwapo
ndugu jamaa na marafiki.
Awali
mama Maria Nyerere alihudhuria sherehe za Kuapishwa Wabunge hao ambapo
Mtoto wake Charles Makongoro Nyerere nae aliapishwa kulitumikia Bunge
hilo.
Shy-Rose Banji akipongezwa na ndugu na jamaa zake.
Wabunge wakipongezana baada ya kiapo nje ya Ukumbi huo wa Bunge uliopo Jengo la AICC mjini Arusha
Picha ya Pamoja na Spika ilipigwa
Picha ya marafiki na familia.Picha Kwa Hisani Ya father Kidevu Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)