Doris Kasaka
(Kushoto) akiwa na mpambe wake jana ndani ya Deluxe Hall Sinza wakati wa sherehe
ya kumuaga (Sendoff) na kumpongeza kwa kufanya maamuzi
mazuri.
Mama Mkubwa wa
Doris Mama Angelina Mwami akiwakaribisha wageni wakati wa sherehe ya Binti yake
ndani ya ukumbi wa Deluxe Sinza.
Baba Mkubwa wa
Doris Mzee Njelu Kasaka akiwakaribisha wageni katika sherehe ya kumuaga Binti
yake ndani ya Ukumbi wa Deluxe Sinza jana usiku.
Meza kuu ya wazazi wa Doris kutoka kulia ni Mama Njelu
Kasaka, Mzee Njelu Kasaka, Dr Mwami na mwisho kushoto ni Mama
Mwami.
Doris akipiga picha ya kumbukumbu na wafanyakazi wenzake
kutoka Zantel.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)