Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi za Idara Maalum katika Wizara ya
Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika
utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Idara hizo, katika ukumbi wa
mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana. Picha na Ramadhan Othman,IKULU
Baadhi
ya watendaji wa Ofisi za Idara Maalum katika Wizara ya Nchi Ofisi ya
Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,wakiwa katika mkutano chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,mkutano huo unahusu masuala
mbali mbali ya kiutendaji, katika idara hizo ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)