Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Canada nchini, Robert Orr ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam May 5, 2012 kuaga. |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago cha faru,
Balozi wa Canada nchini, Robert Orr ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri
Mkuu jijini Dar salaam Juni 5,2012 kuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Afisa wa Masuala ya Siasa
katika ubalozi wa Canada nchini, Sebastien Lanthier (kulia) na balozi
wake, Robert Orr (katikati) ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu
jijini Dar es salaam kuaga, Juni 5,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa China nchini,
Lu Youqing kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini
Dar es salaam Juni 5,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa China nchini, Lu
Youqing (katikati) na Mwambata wa masuala ya Biashara ya Ubalozi huo,
Lin Zhi Yong, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Juni 5, 2012. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)