Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh.Aziz Abood ambaye pia ni Mmiliki wa Abood
Media,akisalimiana na Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina
Nkurlu na Afisa Udhamini wa Vodacom Ibrahimu Kaude wa kwanza
kushoto,mara walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa lengo la
kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho
kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini
humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo
la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea
kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda
mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh.Aziz Abood ambaye pia ni Mmiliki wa Abood
Media,akimsikiliza jambo Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina
Nkurlu,mara walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa lengo la
kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho
kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini
humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na
Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa
kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi
ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na
twitter bure.
Mtangazaji
wa Abood Radio ya Mjini Morogoro Bi.Zainabu Swaleh akiwahoji
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati wa kipindi cha “Nani
Mkali”,kutoka kushoto Meneja Mahusiano wa kampuni hiyo Matina
Nkurlu,Afisa Udhamini wa Vodacom Ibrahim Kaude,walipotembelea makao
makuu ya Abood Media kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha
la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho kuanzia saa nane mchana mpaka saa 12
jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea
kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo
la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea
kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda
mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Meneja
Mahusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akifafanua jambo kwa
mtangazaji wa kipindi cha “Nani Mkali”wakati wa mahojiano rasmi kwenye
Radio ya Abood iliyopo mjini Morogoro mara walipotembelea kituo hicho
kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la
”WAJANJA”litakalofanyika kesho jumapili kuanzia saa 8 mchana mpaka saa
12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea
kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la
kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa
robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda
mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Afisa
Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akijibu moja ya
maswali aliyokuwa akiulizwa na Mtangazaji mahiri wa kipindi cha “Nani
Mkali”Bi.Zainabu Swaleh,kipindi hicho kinachorushwa na Radio ya Abood
ya Mjini Morogoro, mara walipotembelea kituo hicho kwa lengo la kufanya
mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika jumapili hii
kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini
humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na
Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa
kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi
ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na
twitter bure.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)