Happy Birthday Theo Chanda - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Happy Birthday Theo Chanda

 Ilikuwa ni Bonge la Surprise kwa mwana dada Theo Chanda (laiyeshika keki) kutoka Precison Air pale alipo shushiwa keki ya Birthday  wakati wa mlo wa mchana katika Hoteli ya Kitalii ya  Chaminuka iliyopo umbali Kilometa 48 kutoka mjini Lusaka na iliyo zungukwa na Hifadhi binafsi ya Wanyama iliyo na ukumbwa heka 10,000. 

Theo pamoja baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa Precision Air na wateja wao wapo Lusaka Zambia wakiangalia vivutio mbalimbali vya Utalii baada ya Uzinduzi wa Safari mpya za Shirika hilo Lusaka Dar kupitria Lubumbash.
 Theo Chanda akikata keki hiyo
 Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Presicion Air, Alfonse Kioko nae alikuwepo.
 Theo akiteta jambo na rafiki yake Yvonne Baldwin pia kutoka Precision Air
Burudani kali ilitolewa na jamaa hawa.
 Mustafa Hassanali nae alitoa pongezi
Mikonozz nayo ya pongezi ilikuwepo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages