NBC YADHAMINI KIASI CHA DOLA ZA KIMAREKANI 70,000 KWA AJILI YA UTAFITI WA MAKAMPUNI BORA 100 YA KATI. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

NBC YADHAMINI KIASI CHA DOLA ZA KIMAREKANI 70,000 KWA AJILI YA UTAFITI WA MAKAMPUNI BORA 100 YA KATI.

 Mkurugenzi  Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya Dola za Kimarekani 70,000/= kwa waandaaji wa utafiti wa kupata makampuni bora 100 ya kati, Mkurugenzi Mtendaji wa  kampuni ya KPMG, David Gachewa (kulia) na Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications, Theopil  Makunga. Hafla ya makabidhiano imefanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi  Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto) akizungumza katika hafla ambyo NBC ilikabidhi hundi ya Dola za Kimarekani 70,000 kwa ajili utafiti wa kupata makampuni bora 100 ya kati unaoandaliwa na kampuni ya KPMG kwa kushirikiana na Kampuni ya Mwananchi Communications. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KPMG Tanzania, David Gachewa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages