Pichani
kulia ni Ofisa Mahusiano na Matukio wa kampuni ya simu za mikononi ya
Airtel,Dangio Kaniki akimkabidhi mkazi wa Arusha ambaye pia ni
mfanyabiashara,Steven Chapille mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi
milioni kumi mara baada ya kuibuka mshini kwenye promosheni ya NANI
MKALI iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar,Pichani kati anaeshudia
tukio hilo ni Alice Paulicen………….. Makabidhiano hayo yamefanyika leo
(jana) kwenye Makao makuu ya ofisi za kampuni ya Airtel,Morocco jijini
Dar.
Mkazi
wa Arusha Steven Chapille akionekana mwenye furaha mara baada ya
kukabidhiwa mfano wa hundi (yake) yenye thamani ya shilingi milioni kumi
baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya NANI MKALI iliyofanyika hivi
karibuni jijini Dar.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)