Katibu
Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, akipiga picha ya pamoja ya
kumbukumbu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt.
Terezya Huvisa (kushoto) Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa rais wa
Zanzibar, Fatma Fereji (wa pili kushoto) wakati walipkuwana katika hafla
ya chakula cha jioni, iliyoandaliwa na Rais wa Brazil, Dilma Rousseff, kwa viongozi
waliohudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu
(Rio+20) uliomalizika mwishoni mwa wiki Jijini Rio de Jeneiro, nchini
Brazil.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)