Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika Mkutano wa Umoja wa
Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) jana Juni 21, jijini Rio de
Janeiro, nchini Brazil. Mkutano huo ni wa pili kufanyika nchini hapa
tangu ulipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 1992.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)
Dkt. Terezya Huvisa, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa rais wa
Zanzibar, Fatma Fereji, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim, wakiwa katika Ukumbi wa mkutano, wakati
walipohudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu
(Rio+20) jana Juni 21, jijini Rio de Janeiro, nchini Brazil. Mkutano huo
ni wa pili kufanyika nchini hapa tangu ulipofanyika kwa mara ya kwanza
mwaka 1992.
Kutoka Kulia Waziri wa Ofisi ya Makamu
wa Kwanza wa rais wa Zanzibar, Fatma Fereji, Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Mahadhi Juma Maalim, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)
Dkt. Terezya Huvisa. wakiwa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu
Mazingira Endelevu (Rio+20) jana Juni 21, jijini Rio de Janeiro, nchini
Brazil. Mkutano huo ni wa pili kufanyika nchini hapa tangu
ulipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 1992.
Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Tanzania, nchini Brazil,Francis Malambugi, wakiwa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa
kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) jana Juni 21, jijini Rio de Janeiro,
nchini Brazil. Mkutano huo ni wa pili kufanyika nchini hapa tangu
ulipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 1992.
Balozi Liberata Mulamula, akifurahia jambo baada ya kukutana na Wabunge wa Tanzania,
(kushoto) ni Mbunge wa (wa pili kushoto)
ni Mbunge wa Kahama Bw. James Lembeli, (wa pili kulia) ni Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula, (katikati) ni Mkurugenzi wa
mazingira, Ofisi ya Makamu wa rais, Dkt.Julius Ningu, katika Viwanja vya
Kumbi za mikutano ya Rio+20, wakati walipofika kuhudhuria mkutano wa
Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) jijini Rio de
Janeiro, nchini Brazil. Mkutano huo ni wa pili kufanyika nchini hapa
tangu ulipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 1992.
01:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Viwanja vya Ukumbi wa Mikutano,
wakati alipofika kuiwakilisha nchi katikaMkutano wa Umoja wa Mataifa
kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) jana Juni 21, jijini Rio de Janeiro,
nchini Brazil. Mkutano huo ni wa pili kufanyika nchini hapa tangu
ulipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka
1992. Kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Francis
Malambugi. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)