Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma

Waziri Wa Uchukuzi  Dk. Harrison Mwakyembe akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni mjini Dodoma jana.
  Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lucy Kiwelu, akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni mjini Dodoma.
  Mbunge wa jimbo la Nkenge, Assumpter Mshamba (CCM), akichangia bajeti ya Ofisi ya Wazoro Mkuu, bungeni mjini Dodoma.
 Waziri wa Fedha, William Mgimwa akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, nje ya Ukumbi wa bunge mjini Dodoma.
  Mbunge wa Moshi Mjini, Phillemon Ndesamburo (Chadema),akisalimiana na mjasiliamali, Emma Kawawa ambaye ni mtoto wa marehemu Rashid Mfaume Kawawa, walipokutana kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Owenye (Chadema), ambaye ni mtoto wa Ndesamburo.
 Kiongozi wa Kambi ya Upinzania Bungeni an Mbunge wa Hai(CHADEMA),Freeman Mbowe(Kulia)akibadilishana mawazo na Waziri wa Tamisemi, Hawa Ghasia nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.Picha Zote na Joseph Senga

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages