Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward
Lowassa akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam jana, muda mfupi kabla ya wajumbe wa kamati hiyo kuelekea nchini
Canada, Marekani na Uingereza kwa ziara ya kujifunza.
Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo.Picha Zote na Mpiga Picha Maalum wa Francis Dande
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)