KIBAKA AKIWA ANAJIKIMU BAADA YA KUPOKEA KICHAPO KIKALI
MMOJA YA MWANANCHI AKIWA ANAMFUNGA KIBAKA HUYO
BAADHI YA WANANCHI WALIO FIKA KUSHUHUDIA TUKIO HILO MAPEMA LEO
BAADA YA KICHAPO KIKALI SANA KIBAKA ALIJIFANYA AMEZIMIA ILI WASIENDELEE KUMPIGA TENA
DOGO KIBAKA SASA AMEWEKWA NGUVUNI NA POLISI ALIYE FIKA ENEO HILO
SASA ANAPANDISHWA KWENYE GARI NA KUPELEKWA POLISI
******
ANGALIZO
KWA WAKAZI WA JIJINI MBEYA HASA WAFANYA BIASHARA MADUKANI KUMEZUKA NA
TABIA YA WATU KUWA MAKUNDI KAMA WANNE WANAINGIA DUKANAI KAMA WANATAKA
NUNUA KITU WENGINE WAKIWA WANAKUPUMBAZA KWA STORI ZA KUULIZIA BIDHAA
VIJANA WENGINE WANAKUWA WANAFANYA WIZI MUDA HUO HUO. KUWENI MACHO.Picha Kwa Hisani Ya Mbeya Yetu Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)