Warembo watakaopanda jukwani kushiriki katika shindano la kumtafuta Miss Mtwara 2012 siku ya jumamosi juni 2 katika
ukumbi wa Makonde Beach mjini Mtwara, ambapo wamekuwa wakiendelea na
mazoezi katika ukumbi huo kujiweka tayari kwa ajili ya shindano hilo.
Warembo watakaopanda jukwani kumtafuta Miss Mtwara 2012 Wakimsikiliza
mkufunzi wao Isabela mpada (MISS RUVUMA 2006) siku ya jumamosi Juni2 katika ukumbi wa makonde beach
Warembo watakaopanda jukwani kumtafuta Miss Mtwara 2012 Wakimsikiliza
mkufunzi wao Isabela mpada (MISS RUVUMA 2006),Pamoja na muandaaji wa
shindano Rajab Mchatta. siku ya jumamosi Juni 2 katika ukumbi wa
makonde beach
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)