Katibu Wa itikadi na Uenezi Wa CCM Nape Nnauye Akiwafariji Viongozi wa Juu Wa CHADEMA,Dk Wilbrod Slaa na Freeman Mbowe - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Katibu Wa itikadi na Uenezi Wa CCM Nape Nnauye Akiwafariji Viongozi wa Juu Wa CHADEMA,Dk Wilbrod Slaa na Freeman Mbowe

Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM  Nape Nnauye  akimfariji Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Slaa kutokana na msiba huo.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye, akimfariji, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, katika shughuli ya kuuaga mwili wa muasisi wa Chadema,  Bob Makani, leo kwenye Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbrod Slaa.
  Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akimfariji Mwenyekiti wa Chadema, Mbowe kwenye msiba huo muda mfupi baada ya kumfajiri katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Wilbrod Slaa(Kulia).Picha Zote na Bashir Nkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages