Meneja
wa Tanesco Mkoa wa Ilala, Mhandisi Athanasius Nangali(wa pili kushoto)
akifafanua jambo kwa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, ilipotembelea
kituo cha kuzalisha umeme kilichopo Kisutu, Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Selemani Zedi, akizungumza na waandishi wa habari
Meneja
wa Tanesco Mkoa wa Ilala, Mhandisi Athanasius Nangali akionesha mitambo
ya Umeme katika kituo cha kuzalisha Umeme cha Kisutu.(Picha
na Hellen Ngoromera).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)