Redds Miss Ubungo 2012, Irine Sizari,
akipunga mkono kwa furaha mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa
shindano hilo na kuwabwaga warembo wengine 14 usiku huu katika Ukumbi
wa Land Mark Hotel jijini Dar es Salaam.
Redds Miss Ubungo 2012, Irine Sizari
(katikati) akipunga mono baada ya kuvukwa taji hilo na kupata tiketi ya
kushiriki Miss Kinondoni 2012. Kushoto ni Mshindi wa Pili, Mwantumu
Mustafa na kulia ni Mshindi wa tatu, Antonia Nyaragwinda. Shindano hilo
limefanyika Juni 29, 2012 kuamkia Juni 30.
Baadhi ya warembo wa miss Ubungo wakipita jukwaani na vazi la ubunifu
Wanenguaji wa Kundi la FM Academia wakisakata ngoma za Bendi hiyo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)