Pichani
juu na chini ni Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania, Saidi Amin
Shamo akiongea machache kwenye hafla fupi ya kutimiza miaka 35,mbele ya
wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo mabalozi kutoka sehemu
mbalimbali,hafla hiyo imefanyika jioni ya leo nyumbani kwa balozi
huyo,jijini Dar.
Sehemu
ya baadhi ya wageni waalikwa wakisikiliza hotuba fupi iliyokuwa
ikitolewa na Balozi wa Jamhuri ya Djibouti, Saidi Amin Shamo,kwenye
hafla fupi ya kutimiza miaka 35 ya jamhuri ya Djibout iliyofanyika jioni
ya leo jijini Dar.
Wageni waalikwa wakijadiliana jambo,Pichani kati ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Bw.Joseph Kusaga.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)