Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Alli Hassan Mwinyi(katikati)
akimkabidhi vitabu vya Utii wa sheria ni dhawabu na Baraka za Utii
Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam Alhad Mussa Salum baada ya kuvizindua
jijini Dar Es Salaam jana.Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Said
Mwema na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la makanisa ya
kipetenkoste Askofu Daniel Aweti
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Alli Hassan Mwinyi(katikati)
akizungumza na viongozi wa dini za Kikristo na kiislamu( hawapo pichani)
wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Utii wa Sheria bila shuruti
ulioambatana na uzinduzi wa vitabu vya "Utii wa sheria ni thawabu pamoja
na Baraka za Utii jijini Dar es Salaam jana.(Kushoto ni Inspekta
Jenerali wa Polisi Said Mwema na kulia ni Sheikh wa mkoa wa Dar es
salaam Alhad Mussa Salum.
Kamishna
wa Operesheni wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja (wa Pili kutoka kushoto)
akiwa pamoja na viongozi wa dini za kiislamu na kikirsto wakifuatilia
kwa makini hotuba wakati wa uzinduzi wa Vitabu vya Utii wa Sheria ni
thawabu pamoja na Baraka za Utii vilivyozinduliwa jana na RaisMstaafu wa
awamu ya Pili Alhaji Alli Hassan Mwinyi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)