Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohd Aboud Mohamed
akifafanua jambo alipozungumza na Maaskofu mbalimbali kufuatia kwa
matatizo yaliotokezea Zanzibar ya kuchomwa Moto kwa Makanisa
mbalimbali,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar.
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohd
Aboud Mohamed wakwanza kushoto akisalimiana na Askofu Mkuu wa Anglican
Tanzania Dk Valentine Mokiwa baada ya kumaliza kwa mazungumzo yao pamoja
na Maaskofu mbalimbali,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar.

Askofu Mkuu wa Anglican Tanzania Dk Valentine Mokiwa akifanya
mahojiano na Muandishi wa BBC kuhusiana na matatizo yaliotokezea
Zanzibar ya kuchomwa Moto kwa Makanisa mbalimbali,huko katika Ukumbi
wa Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)