Watu
hawa wawili(pichani) ambao ni Masaganya Kalimanzila umri wa miaka 30
(mwanamke) na Chiza Juma (mwanaume) waliotambulika kuwa ni wachawi mara
baada ya kubanwa na kujitambulisha wamekamatwa majira ya saa 12 asubuhi
leo katika kanisa la Ufunuo lililopo maeneo ya Butimba jijini Mwanza
wakisafiri kwa ungo toka kijiji cha Kaziramkunda wilayani Kasulu mkoani
Kigoma hadi jijini Mwanza kwania ya kuwachukuwa watu watatu walioagizwa
kwaajili ya sadaka.
Kwa
mujibu wa mahojiano waliyofanya na blogu ya gsengo, wachawi hao
wanasema kuwa walipewa amri na wakuu wao wanao ishi chini ya maji
kuwachukuwa watu watatu wa kanisa hilo kwa mazingira ya kichawi ili
wawauwe kwaajili ya kafara na mazindiko.
Habari kwa hisani ya Gsengo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)