Baada
ya kazi pevu ya uzinduzi wa tawi la Chadema jijini Washington Dc
wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamtembelea rasmi
Balozi wa Tanzania nchini Marekani.
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar akipata picha ya pamoja na Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Msigwa ndani ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Wabunge wa Chadema Mhe. Peter Msigwa
wapili kushoto, Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu Dogo Janja, (Watatu
kulia), ofisa wa ubalozi Mhe. Peter Msigwa, Kaimu Balozi Mhe Lilian
Munanka pamoja na viongozi wa tawi la Chadema Washington Dc wakipata
picha ya pamoja na balozi Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar baada ya
kumtembelea rasmi siku ya Jumanne Mei 29,2012 Washington Dc
Nchini Marekani.
Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Peter
Msigwa akipata picha ya pamoja na waTanzania waishio nchini Marekani,
ndani ya Ubalozi wa Tanzania Washington Dc. (Picha na swahilivilla.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)