Kamera ya Lukaza Blog ilipomnasa kijana ambaye jina lake halikufahamika katika stendi ya daladala makuru mjini dodoma akiwa amelala juu ya lori la mchanga hii inaashiria kuwa usingizi ni popote pale haijalishi kama kuna godoro au halipo.Popote waweza sinzia bana
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)