Mchezaji
kutoka Chuo cha KCMUCO raia wa Indonesia, Suche Athanasia akicheza
wakati wa fainali wa mashindano ya Pool Higher Learning Mkoa wa
Kilimanjaro dhidi ya Maryvianney Chizziel kutoka chuo cha MUCCOBS
Kilimaanjaro muda mfupi uliopita ambapo Suche alishinda na kutwaa
ubingwa wa Singles wanawake Higher Learning Mkoa wa Kilimanjaro
Wachezaji wa chuo cha MUCCOBS wakiwa na furaha mara baada ya kutinga fainali
Diwani wa Kata ya Soweto Manispaa ya Moshi, Dk.Charles Mbando akizindua
rasmi mmashindano hayo kwa niaba ya Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi,
Japhari Michael
Diwani,Dk.Charles Mbanbo akipigiwa makofi mara baada ya uzinduzi rasmi
Wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali vya Mkoani Kilimanjaro wakimsikilizaa mgeni rasmi
Mwenyekiti wa Chama cha Pool Mkoa wa Kilimanjaro ,Christopher Shitindi akisoma risala ya ufunguzi wakati wa mashindano hayo.
Wanafunzi wakisikiliza na kufuatilia ufunguzi huo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)