BETTER
DAYZ ENTERTAINMENT NA MARAFIKI WA KWELI LTD , wanakuletea REDDS MISS
IFM 2012 Pamoja na shindano la MR IFM 2012 ambayo yote kwa pamoja
yataefanyika katika ufukwe wa CINE CLUB Mokocheni kwa WARIOBA Tarehe
12/05/2012 . Msanii Bingwa wa Mwaka, DIAMOND PLATNUM atasimama kwenye
stage na Kuporomosha show ya Mwaka pamoja na Mabinti hawa. Ni tukio la
Mwaka na pia ndio tukio Pekee ambalo tutamshuhudia Diamond Platnum
akiwarusha Mamiss na Nyimbo zake Kibao.. Njoo Bila Kukosa kwa Kiingilio
Cha TSHS 15,000/= (Wanafunzi wa IFM ) na TSHS 20,000/= (kwa Wasio
wanafunzi). Karibuni Sana. Pia MC MPOKIIII atatuvunja Mbavu.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)