Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa
Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Africa afDB katika ukumbi
wa AICC jijini Arusha leo Mei 31. 2012
Rais Kikwete akiwa na Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, Rais
Mstaafu wa Botswana Mh Festus Moghae, Rais wa Benki ya Africa Dkt Donald
Kaberuka, Mshauri wa Mfalme wa Morroco Bw Omar Kabbaj (kushoto) ,
Waziri wa Fedha Dkt (wa pili kuhsoto) muda mfupi kabla ya kuzindua
mkutano Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Afruka katika
ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Mei 31, 2012
Ukumbi wa AICC wakati wa Rais Jakaya Kikwete alipkuwa akifungua Mkutano wa Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Africa afDB katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Mei 31. 20 |
Rais Kikwete akiwa na Rais wa Ivory Coast
Alassane Ouattara, Rais Mstaafu wa Botswana Mh Festus Moghae, Rais wa
Benki ya Africa Dkt Donald Kaberuka, Mshauri wa Mfalme wa Morroco Bw
Omar Kabbaj (kushoto) , Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa (wa pili
kuhsoto) katika picha ya pamoja na Marais wastaafu wa Benki ya Afrika.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)