Twiga
bancorp limited inaendelea na mkakati wa kurekebisha kumbukumbu za
wateja wetu kwa mujibu wa maelekezo ya Benki Kuu, ili kuweza kutoa
huduma iliyo bora zaidi.
Usikiapo
taarifa hii, tafadhali nenda tawi lolote la Twiga lililopo karibu nawe
muone meneja wa tawi ukiwa na kitambulisho cha account yako.
Mwisho wa zoezi hili ni tarehe 30 Julai, 2012.
Kwa kurahisisha zoezi hili wasiliana nasi kwa Simu zifuatazo
1. 022 211 5575 au
2. 0767 310 348 au
Fax 022 211350
Email info@twigabancorp.com
Twiga bancorp, Huduma bora ndiyo fahari yetu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)