Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma, wakitoa pole kwa mjane wa Deokalyus Makwasinga aliyekuwa dereva wa Ikulu - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma, wakitoa pole kwa mjane wa Deokalyus Makwasinga aliyekuwa dereva wa Ikulu

Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma, wakitoa pole kwa mjane wa Deokalyus Makwasinga aliyekuwa dereva wa Ikulu ambaye alifariki dunia kwa ajali ya gari Ijumaa usiku Kimara jijini Dar es Salaam. Marehemu aliagwa nyumbani kwake Kimara kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge mkoani Morogoro kwa maziko. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages