Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimpokea Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012 Mjumbe maalumu
kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa
Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kati ni Balozi wa Burundi nchini
Tanzania
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30,
2012 na Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi,
ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kushoto ni Balozi
wa Burundi nchini Tanzania.Picha Na Ikulu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)