RAIS DK. SHEIN AZINDUA KIFAA CHA MTANDAO WA ZANZTEL -3G - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

RAIS DK. SHEIN AZINDUA KIFAA CHA MTANDAO WA ZANZTEL -3G

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za Mkononi Zantel hapa Zanzibar CEO Ali Bin Jarsh,wakibonyeza kitufe ikiwa ni  uzinduzi wa kifaa cha mtandao mpya
wa Zantel -3G,katika Ukumbi wa Zanzibar Beash Resort leo.
Viongozi na wadau mbali mbali wa kampuni ya Simu za Mkononi Zanztel wakiwa katika uzinduzi wa Kifaa kipya cha Mtandao wa Zanzite -3G ,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika Ukumbi wa Zanzibar
Beash Resort leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za Mkononi Zantel hapa Zanzibar CEO Ali Bin Jarsh,baada ya kuzindua kifaa  cha mtandao mpya wa Zanztel-3G katika ukumbi wa
Zanzibar Bech Resort leo.   [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages