KILI MUSIC AWARD WINNERS ILIVYO KUWA HUKO JIJINI MWANZA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KILI MUSIC AWARD WINNERS ILIVYO KUWA HUKO JIJINI MWANZA LEO

 Show ya hapa Mwanza ilifunguliwa na msanii wa taarabu Isha Mashauzi, shangwe zilikuwa zakutosha kabisa na wapenzi wa burudani ya taarabu walipata chakula cha ubongo.


Mashabiki kibao 
 Akafuatia msanii aliyechukuwa tuzo ya RnB anajulikana kama Ben Pol
 Misago, Hellen & Dullah
Barnaba, Hellen & Sam Misago 
Kaka mkubwa ndio aliyekuwa akiangalia ulinzi wa wasanii wote wakiwa salama 
 Ikafikia zamu ya Ommy Dimpozi kupanda kwa steji, na show ilikuwa bab kubwa 
 Barnaba aka Baba Steve kwa steji
 Wacheza show wa msanii Diamond
 Ikafika zamu ya mtoto wa Zanzibar AT kupanda kwa steji
 Ikafika zamu ya msanii mwenye tuzo 3 kupanda kwa steji, hapa namzungumzia Diamond 
 Mtoto wa Tanga Roma ndio aliyefunga show kwa upande huu wa Mwanza.Kwa mapicha zaidi ingia hapa BONGO STAR LINK- DJ CHOKA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages