PrecisionAir yadhamini 'AIESEC Career Fair' chuoni SAUT - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

PrecisionAir yadhamini 'AIESEC Career Fair' chuoni SAUT

Meneja Mauzo wa PrecisionAir Kanda ya Ziwa Bw. Eliud Mwasongwe akielezea kuhusu kampuni ya ndege ya PrecisionAir pamoja na sera zake kwa ajira kwa vijana katika siku ya ‘Career Fair’ iliyoandaliwa na asasi ya AIESEC chuoni SAUT.
Wanafunzi wakishiriki katika siku ya 'Career Fair' chuoni SAUT iliyodhaminiwa na PrecisionAir.
Mkurugenzi Mkuu wa MAANISHA! Bw. Andrew Mahiga (katikati) ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika tukio hilo akitoa cheti cha ushiriki kwa Meneja Mauzo wa PrecisionAir Kanda ya Ziwa Bw. Eliud Mwasongwe. Akiwatazama ni Rais wa AIESEC SAUT Bw. Heri Emmanuel
Afisa Mawasiliano wa PrecisionAir Amani Nkurlu (kulia) ambaye pia aliwahi kuwa Rais wa AIESEC SAUT 2009/2010 akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa MAANISHA! Andrew Mahiga (wa pili kushoto) na wanachama wa AIESEC SAUT walipotembelea banda la kampuni hiyo. 
Meneja Mauzo wa kanda ya Ziwa kutoka PrecisionAir Bw. Eliud Mwasongwe akitoa ufafanuzi juu ya huduma za shirika hilo la ndege kwa baadhi ya wanafunzi wa SAUT waliofika bandani hapo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages