Mwenyekiti wa Kamati ya Dunia ya Sayansi na Taaluma ya Mabadiliko ya Tabia nchi Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Azungumza na Wawakilishi wa Afrika katika UNESCO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mwenyekiti wa Kamati ya Dunia ya Sayansi na Taaluma ya Mabadiliko ya Tabia nchi Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Azungumza na Wawakilishi wa Afrika katika UNESCO

Bw. Richard Muyungi wa Ofisi ya Makamu wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Dunia ya Sayansi na Taaluma ya Mabadiliko ya Tabianchi, akizungumza na Wawakilishi wa Afrika  katika UNESCO, kuhusu Afrika na mabadiliko ya tabianchi kama mgeni mwalikwa wakati wa kufunga (Africa UNESCO week) huko Paris Ufaransa.Picha na  Evelyn Mkokoi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages