Meneja Mkuu wa kampuni ya simu ya
mikononi ya Tigo,Diego Gutierrez akizungumza jambo kwa Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga pichani
kulia,mara baada ya kumaliza ziara ndani ya kampuni hiyo na kujionea
mambo mbalimbali,shoto ni Ofisa Mahusiano wa Tigo Alice Maro.
Meneja Mkuu wa kampuni ya simu za
mikononi ya Tigo akifanya mahojiano mafupi na mtangazaji wa Choice
FM,aitwaye Thandi Kathembe mapema leo jioni.
Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM,Sebastian
Maganga (pili kutoka kulia),akifafanua jambo kwa Meneja Mkuu wa kampuni
ya simu ya mikononi ya Tigo,Diego Gutierrez alieambatana na Ofisa
Mahusiano wake, Alice Maro,kulia ni Dj Fetty.
Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM,Sebastian
Maganga akifafanua jambo kwa Meneja Mkuu wa kampuni ya simu ya mikononi
ya Tigo,Diego Gutierrez (pichani kati),Kulia ni mmoja wa watangazaji wa
Clouds FM,Ruben Ndege.
Meneja Mkuu wa kampuni ya simu ya
mikononi ya Tigo,Diego Gutierrez akiperuzi moja ya jarida la Burudani
hapa nchini la KITANGOMA,linalochapishwa na kampuni ya Prime Time
Promotions LTD.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Clouds Media Group,Joseph Kusaga akimuelekeza Meneja Mkuu wa kampuni ya
simu ya mikononi ya Tigo,Diego Gutierrez namna ya baadhi ya vipindi vya
Clouds TV vikiwa tayari kwa kurushwa hewani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Clouds Media Group,Joseph Kusaga akimuelekeza Meneja Mkuu wa kampuni ya
simu ya mikononi ya Tigo,Diego Gutierrez namna ya baadhi ya vipindi vya
Clouds TV vikitayarishwa kabla ya kwenda kurushwa hewani.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)