MAZISHI YA MPIGA PICHA WA HABARI MAELEZO ZANZIBAR HAMAD HIJA HAMADI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAZISHI YA MPIGA PICHA WA HABARI MAELEZO ZANZIBAR HAMAD HIJA HAMADI

Wanafamilia pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali wakibeba jeneza la aliekuwa mpiga Picha wa Idara ya Habarí Maelezo Zanzibar Marehemu Hamad Hija aliefariki leo Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanzí
Wanafamilia pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali wakimsalia aliekuwa mpiga Picha wa Idara ya Habarí Maelezo Zanzibar Marehemu Hamad Hija aliefariki leo Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanzíbar.
Wanafamilia pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali wakibeba jeneza la aliekuwa mpiga Picha wa Idara ya Habarí Maelezo Zanzibar Marehemu Hamad Hija aliefariki leo Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanzíbar
Wanafamilia pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali wakiwa katika mazishi ya  aliekuwa mpiga Picha wa Idara ya Habarí Maelezo Zanzibar Marehemu Hamad Hija aliefariki leo Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanzíbar.PICHA KWA HISANI YA MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages