Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Makamu wa Rais wa Kwanza wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi,
wakisainiana mkataba wa makubaliano ya pamoja ya masuala mbalimbali
yanayohusu uhusiano wa nchi hizo mbili, wakati wa hafla hiyo fupi
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam
jana. Picha na Amour Nassor-OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Makamu wa Rais wa Kwanza wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi,
wakibadilishana mkataba baada ya kusainiana mkataba huo wa makubaliano
ya pamoja ya masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi hizo mbili,
wakati wa hafla hiyo fupi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt
Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)