Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Jaji Joseph Sinde Warioba
ambaye lpia ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambaye
alizungumza katika Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa
Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar Mjini Dodoma May 30,2012. Kulia ni
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa, Hawa Ghasia.
Makamu wa Rais Dkt
Mohamed Bilal akiteta na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kufaunga
mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya na Makatibu Tawala wa Mikoa kwenye
Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar Mjini Dodoma May 30, 2012. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)