Mafundi wa kampuni ya ujenzi ya Degremont-Spencon Consortium wakiendelea na ujenzi wa mtambo wa kusafisha maji wa Ruvu Chini - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mafundi wa kampuni ya ujenzi ya Degremont-Spencon Consortium wakiendelea na ujenzi wa mtambo wa kusafisha maji wa Ruvu Chini

Mafundi wa kampuni ya ujenzi ya Degremont-Spencon Consortium wakiendelea na ujenzi wa mtambo wa kusafisha maji wa Ruvu Chini ambao unatarajiwa kukamilika Machi mwakani. Kukamilika kwa ujenzi huo kutasaidia kupunguza adha ya maji kwa kiasi kikubwa kwa wakazi wa Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages