Johari Juma
akijiandaa kumlisha mwanawe Frank Temu aliyelazwa katika Hospitali ya
Taifa Muhimbili kutokana na majeraha aliyopata baada ya kushambuliwa na
kukatwa mapanga na mtu asiyejulikana Jumanne iliyopita katika kijiji cha
Mtakuja A,
Bagamoyo, Pwani. (Picha na Gloria Tesha).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)