JANUARI MAKAMBA AITAKA TCRA KUTATUA KERO ZA MAWASILIANO YA MITANDAO HARAKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

JANUARI MAKAMBA AITAKA TCRA KUTATUA KERO ZA MAWASILIANO YA MITANDAO HARAKA

Naibu waziri wa Nishati na Madini January Makamba akiongea na waandishi wa habari leo hii katika makao makuu ya mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakati wa ziara yake katika makao makuu hayo, ambapo aliipa  TCRA wiki mbili kufuatilia na kujadili na kutoa taarifa juu ya kero za mawasiliano kwenye mitandao ya simu ikiwemo kukatika kwa network, pamoja na huduma za kuhifadhia pesa katika simu.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika ziara hiyo ya January Makamba.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages