JANUARI MAKAMBA AFANYA ZIARA MAKAO MAKUU YA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONI YA AIRTEL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

JANUARI MAKAMBA AFANYA ZIARA MAKAO MAKUU YA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONI YA AIRTEL

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,  January Makamba (kushoto) akipokewa na Mkurugenzi Mtendai wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor,  alipofanya ziara kukagua shughuli mbalimbali za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasilino\ wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,  January Makamba (kushoto) akipokewa na Ofisa Mkuu wa Biashara wa Airtel Tanzania, Chiruwi Walingo  alipokwenda kufanya  ziara ili kukagua shughuli mbalimbali za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya akiongozana na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kushoto) katika ofisi za makamo makuu ya Airtel  wakati wa ziara yake kukagua shughuli mbalimbali za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor (katikati) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,  January Makamba (kulia) na ujumbe wake wakati wa ziara ya naibu waziri huyo kukagua shughuli mbalimbali za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages