Leo ni siku ya Kuzaliwa Mbunge wa
Mbeya mjini kwa Tiketi ya CHADEMA na msanii Mkongwe wa Muziki wa Kizazi
kipya Joseph Mbilinyi almaarufu kwa majina ya Mr. II Proud na SUGU.
Sugu leo ametimiza miaka kadha na
Blogu hii ya www.hakingowi.com inaungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki zake
wote kumtakia heri na fanaka katika siku yake hii ya kuzaliwa. Pia
inamuombea kwa Mungu amjalie Hekima na Busara katika maisha yake kitu
ambacho Haki Ngowi Blog inaamini kuwa ndio nyezo kuu katika utendaji wake wa
kazi na maisha kwa ujumla.
HAPPY BIRTHDAY!! HAPPY BIRTHDAY!! HAPPY BIRTHDAY!! HAPPY BIRTHDAY!!
SALAMU ZA BIRTHDAY KUTOKA KWA MARAFIKI
Shy-Rose Bhanji:
Bazo Komu:
Ipyana Mwimbe: HAPPY BIRTH DAY KINEGA THE JEMBE
Nicky Magarinza: Happy Birthday mzee wa Kariakoo!!
Kwame Mchauru : Mungu Akujaze Baraka kaka..Happy Birthday.
Mwanabibi Wage :
Mohammed Iddi : HapPy birthday to you Comrade.
Zahoro Marunga : Hapy bday anko sugu
Mustafa Hassanali: happy zaliwadeiiiii.....sasa KEKI posho langu ?
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)