Chemi & Cotex Industries Ltd Managing Director L. N. Rathi addressing the
launch of the whitedent School Squiz 2012 to the Media and the invited students
from different schools in Dar es Salaam recently in Dar es Salaam whereby the
Industry have conducted education
programmes on Oral Hygiene in over 1000 schools in Tanzania.
ITV/Radio One Senior Marketing
Administrator Ernest Dilli addressing his vote of thanks the Management of
Chemi & Cotex Ind. Ltd during the launch of whitedent school Squiz 2012 the
program which will be aired on ITV/Radio One for nine episodes.
Benchmark Managing Director Ms. Rita Paulsen
speaking to the Media (not in picture) during the launch of Whitedent School
Squiz 2012 at the Alpha high school in Dar es Salaam.
Chemi & Cotex Industries Ltd Managing
Director L. N. Rathi (left) signing theMemorandum of Understanding (MOU) with the ITV/Radio One Senior
Marketing Administrator Ernest Dilli(right) after the launch of Whitedent
school Squiz 2012 program recently at the Alpha High School in Dar es Salaam,
witnessing in the middle is the Benchmark Managing director Ms. Rita Paulsen.
Chemi & Cotex Industries Ltd Managing
Director L. N. Rathi (left) signing the Memorandum of Understanding (MOU) with the ITV/Radio One Senior
Marketing Administrator Ernest Dilli(right) after the launch of Whitedent
school Squiz 2012 program recently at the Alpha High School in Dar es Salaam,
witnessing in the middle is the Benchmark Managing director Ms. Rita Paulsen.
Chemi & Cotex Industries Ltd Managing
Director L. N. Rathi (second right) in a group photo after the launch of Whitedent
School Squiz 2012 with Mr. Gregor forbes
Representative of Board of directors – Chemi & cotex ind Ltd(first
right),and Benchmark Managing director Ms. Rita Paulsen (centre) followed by
the Ag. Director of Primary school education Mr. Jumanne Shauri and Chemi &
Cotex Ltd Zonal Regional Category ManagerMs. Tamika Chikawe.
Representative of Board of directors – Chemi
& Cotex Ind Ltd Mr. Gregor Forbes playing with students after the launch of
Whitedent school squiz 2012 at the Alpha High School recently in Dar es Salaam.
------
------
Dar es Salaam, 2/05/2012:
Chemi & Cotex
Ltd, watengenezaji wa ya dawa za meno ya Whitedent na bidhaa nyingine za
kusafisha kinywa wanayo furaha kutangazauzinduziwachemsha bongoyawhitedentmashulenikwamwaka 2012.
Chemsha
bongo ya mwisho ya
whitedent mashuleni ilifanyika mwaka 2008. Tumeanzisha zoezi hili baada ya
kipindi cha miaka mitatu. Toleo la kwanza la quiz mashulenililifunguliwakwashulezotezamsingiMkoawa
Dar es salaam.
Chemsha bongo ya mwisho ya whitedent mashuleni ilifanyika mwaka
2008. Tumeanzisha zoezi hili baada ya kipindi cha miaka mitatu. Toleo la kwanza
la quiz mashulenililifunguliwakwashulezotezamsingiMkoawa Dar es salaam. chemsha
bongo hii mashuleni
kwa mwaka huu itafanyika mikoa yote ambayo ni Arusha, Dar es Salaam, Mbeya and
Mwanza kwa ushiriki wa shule za msingi. Jumla ya maswali 4000 yametayarishwa
kwa ajil ya jaribio kamili. Timuyawalimuwenyetaalumaimepewajukumu la
kuandaamaswalihayakwaajiliyamasomotofautikutokananamitaala ya elimu ya msingi.
Muundo wa chemsha
bongo uliwasilishwa
Wizara ya Elimu nabaada ya idhinikutoka kwao, jumla ya shule240
zilialikwakulingana nabidii ya shulekatikamitinahi ya
mwisho ya Shuleza Msingimwaka jana;
kuwaomba kuchagua timu ya watu wanne kushiriki katika chemsha
bongo.
Jumla yashule162 zimethibitisha ushiriki
waona kupelekatimu zao. Shindano linahusisha wanafunzikiwangowa darasa la 6 wenye umri wa
wastani wa miaka12-13, ikiwa ni pamoja nawatachanganya
jinsia zote, hivyo wotewawepo
katikachangamoto.
Hatua ya kwanzailikuwa ni mfumo uliochukua nafasi
katika kila mikoa minne. Kwa kila mkoa shule moja iliyoalikwa ilielekezwa kama
kituo cha mkoa ambapo mchuano wa awaliutachukua nafasi kwa mkoa huo. Lilikua ni tukio la
siku moja kwa shule tano kumalizika kw wakati mmoja, kwa kuulizwamaswaliya
msingijuu ya masomombalimbaliikiwa ni pamoja naLugha, Hisabati, Sayansi
na masomoya Jamii.Mchakato mzimailikuwauwazikwashule
zotezinazoshirikizitaelezwakuhusu mchakatomapema.
Shule Sitazitakazoshindakutokakila mkoazitaingia
katika robo fainali itakayofanyika Dar es Salaam. Katika hatua
yarobofainali, Shule 24zimegawanywa katika makundi6ya
shule4kila moja.Kambiulifanyikakwa misingi yakupataalamakatikahatua ya
kwanza.Washindi wakila kundi, yaanijumla
yatimu6ataelekeanusu fainali. Makundi yalifanyika kutokana na alama
zilizopatikana katika hatua ya kwanza. Washindi wa kila kundi, mfano jumla ya
timu sita zitaendelea kwenye nusu fainali.
Washindi sita wa nusu
fainali watagawanywa katika makundi mawili yenye timu tatu kila kundi mfano
timu mbili zinazoendelea kwenye fainali za mwisho, wakati mshindi wa jumla
atakapopatikana. Vipindi
vya chemsha bongo tisa vikihusishwa na robo fainali sita, nusu
fainali mbili na fainali ya mwisho vitarekodiwa moja kwa moja na
kuonyeshwa katika Runinga.
Ilikuingiliana na idadi kubwa ya shule pia
tunaleta kampeni ya ujumbe mfupi wa maandishi ambayo mtangazaji anauliza swali maalum
(kwa ajili ya shule tu)wakati wa programu ya chemsha
bongo shuleni kwenye TV naambayo ikitangazwa pia katikarediokushauri kwawatu
jinsi yakujibukwa njia yaujumbe mfupi wa maneno (SMS).Kampeni itakuwa ikitangazwa katika TV kuwaambia watu kusikiliza vipindivyaRedionakusaidiashulewalizochaguakushindazawadiyatangi
la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 3000 pamoja na zawadi nyingine zenye thamani ya shilingi milioni
30 zikiwemo Computer na madaftari.Watu watajibu kwa njia ya ujumbe mfupi wa
maneno kwa nafasi ya kushinda tuzo ya kila wiki.
Mfumo huu utachagua
wakuchaguawashindi3 wakila wiki.Kwa kila
mshindi mmoja, kunashuleambayoitashinda tuzo(mshindiatachagua shule yake) shindano
hili litaendelea kwa wiki tisa kulingana
na jinsi linavyotolewa na TVna redio.
Tangu
mwaka 2003 Chemi & Cotex Ltd iliendesha programu za elimu juu ya Usafi ya
kinywa katika shule zaidi ya 1,000 katika Tanzania. Uchunguzi wa meno bure,
sampuli mashuleni ni baadhi ya shughuli zillizofanywa na kampuni kuelimisha na
kujenga uelewajuuyausafiwakinywa.Programuyachemsha bongo yaWhitedentmashuleninizaidiya
juhudi hizi.Licha ya kuwa inarushwa katika kituo
cha ITV kwa sehemu tisa, pia itakuaik itangazwa naRedio One ilikuwafikia zaidi watu.
-Mwisho-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)