Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh Makini akitoa shoo kali kwa
wanafunzi wa vyuo vitatu vya elimu ya juu vya mkoani Iringa
(Tumaini,Mkwawa na Ruaha),waliofika kwenye Bonanza la Ufunguzi wa
Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye viwanja
vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya jana
Mratibu wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand
Malt 2012,Bw. Victor (kulia) amkaribisha Muwakilishi wa Kampuni ya Bia
Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe kuzungumza na
Wanafunzi hao kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa
jioni ya jana.
Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu
Kusini,Masumbuko Changwe akizungumza na Washiriki wa Bonanza la Ufunguzi
wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,kwenye viwanja vya Chuo
Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya jana
Wachezaji wa Timu ya Chuo Kikuu cha Mkwawa Mkoani Iringa,Wakishangilia ushindi wao Pamoja na Muwakilishi wa Kampuni ya
Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe (wa pili
kulia mwenye fulana ya rangi ya chungwa) wakati wa Bonanza la Ufunguzi
wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,uliofanyika kwenye viwanja
vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya jana
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh Makini akiendelea kukamua
kwenye Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt
2012,lililofanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani
Iringa jioni ya jana
Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu
Kusini,Masumbuko Changwe (kulia) akikabidhi zawadi mbali mbali kwa
washindi walioshiriki Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With
Grand Malt 2012,kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa
jioni ya jana
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)